0:00
HABARI KUU
Related Content
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kufanya awamu ya pili ya maandamano ya wiki moja nchi nzima kwenye makao makuu ya mikoa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema hayo mkoani Mtwara wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kukamilika kwa vikao vya Kamati Kuu ya chama hicho vilivyoketi kwa muda wa siku nne.
Amesema maandamano hayo yataanza Aprili 22, 2024 na kumalizika Aprili 30, 2024.
Mbowe ameongeza kuwa maandamano hayo yatafanyika pia katika nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Canada, Àfrika Kusini, Ujerumani, Uswisi , Ufaransa, Uingereza, Marekani na Kenya.
Related News 📫
Chelsea manager Enzo Maresca praised his young team after the...
MICHEZO
Mchezaji Heritier Luvumbu Nzinga amesaini makataba wa msimu mmoja...
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amemwidhinisha rasmi Makamu...