0:00
HABARI KUU
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Doroth Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama hicho akichukua nafasi ya muasisi wa chama hicho, Zitto Kabwe aliyemaliza muda wake.
Semu ameshinda kwa Kura 534 sawa na 65.7% zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na Mbarala Maharagande aliyepata Kura 184 sawa na 34.3%.
Related Posts 📫
ARLINGTON, Texas — Joe Burrow says he’s willing to do...
Manchester City manager Pep Guardiola has moved to clarify a...
NYOTA WETU.
Mmiliki wa mtandao wa X,SpaceX, na Tesla Elon...
MADRID, - Barcelona manager Hansi Flick said he was proud...
Real Madrid manager Carlo Ancelotti hopes Kylian Mbappe will not...