NYOTA WETU
Baada ya miezi mitano ya kutengana na Selema Masekela, muigizaji kutoka Kenya aliyecheza movie ya Black Panther Lupita Nyong’o ameonekana kuzama kwenye penzi na mwigizaji wa Canada, Joshua Jackson.
Picha zilizopatikana na kwenye mtandao tarehe 3 Machi zilionesha Lupita na Joshua wakifurahia wakati wa likizo yao huko Mexico wakati wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya Lupita akiwa amefikisha umri wa miaka 41.
Picha hizo zilionyesha Lupita na Joshua wakiwa na furaha, wakishikana mikono na kufurahia muda wao katika eneo la pwani.

Related Content
Related Content
Related News 
Klabu ya Chelsea imeingia kwenye sintofahamu baada ya kiungo Enzo...
Social media has been inundated with reactions following the unveiling...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Newcastle United, Eddie Howe amesema klabu...