0:00
NYOTA WETU
Rais wa Senegal Macky Sally amechukua hatua ya Uchaguzi Mkuu wa Urais kufanyika Machi 24,2024 ikiwa ni baada ya siku za hivi karibuni Mahakama ya kikatiba kutupilia mbali kuahirishwa kwa tarehe iliyokuwa imepangwa awali.
Muhula wa Macky Sall utamalizika Aprili 2 mwaka huu baada ya kuomba uchaguzi kusogezwa mbele hadi mwezi Juni badala ya Desemba.
Baada ya Mahakama ya kikatiba kutupilia mbali hatua ya Rais Sally, aliamua kumuondoa Waziri Mkuu Aamadou Ba katika nafasi hiyo na kumuweka Sidiki Kaba.
Ikulu ya Rais imetangaza kuwa Amadou ndiye atakayekiwakilisha Chama kilichopo Madarakani katika mbio za kuwania kiti cha Urais.
Related Posts 📫
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Raia wema wanaochukia vitendo...
The 26-year-old has joined on a five-year contract.
"Thanks to the...
The Frenchman opted to bring down the curtain on his...
LOVE ❤
"You are looking good today"Yes lady, men need...