PRINCE DUBE AFUNGUKA SABABU YA KUONDOKA AZAM FC

0:00

NYOTA WETU

Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi wa klabu hiyo hufurahia mafanikio ya timu zingine badala ya timu yao!

“Nahitaji kuchezea timu ambayo wachezaji na viongozi wana lengo moja. Viongozi wako Azam, lakini mioyo yao iko kwenye timu zingine wanazozisapoti, hizo timu zikishinda wanafurahia.

“Hili ni tatizo jingine unajua mara nyingine ni ngumu kusema vitu hivi lakini sasa tuko kwenye hali ngumu natakiwa kusema sina chaguo.

“Siwezi kuwa kwenye timu ambayo wewe unataka kushinda kitu lakini watu ambao wanawaongoza wanasapoti timu mnayoshindana nayo, ndiyo maana nataka mabadiliko niwe sehemu ambayo watu wanaowaongoza mnafikiria kitu kimoja” – Prince Dube.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

RONALDO AMTETEA MESSI ...
Michezo RONALDO amesema kuwa yeye na Messi sio marafiki bali...
Read more
RAIS SAMIA AINGIA KWENYE ORODHA YA GOOGLE...
NYOTA WETU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa mtu...
Read more
FACTORS TO CONSIDER BEFORE YOU MARRY ...
❤ Two days ago I posted, "Don't marry anyone just...
Read more
MAMBO 10 AMBAYO WATOTO HAWATAKIWI KUONA KWA...
MAPENZI 1. Wazazi kulala kwenye vitanda tofauti au vyumba tofauti...
Read more
Liverpool beat Man City to go nine...
Liverpool overawed arch-rivals Manchester City in a 2-0 win on...
Read more
See also  MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUTUNZA FIGO

Leave a Reply