0:00
MICHEZO
Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield.
FT: Liverpool 1-1 Manchester City
⚽ Mac Allister (P) 50′
⚽ John Stones 23
Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania akishinda mara 11 huku mechi 7 zikimalizika kwa sare.
Liverpool imefikisha alama 64 sawa na kinara Arsenal na wanasalia nafasi ya pili huku Manchester City wakifikisha alama 63 na wanasalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.
Ikumbukwe Jurgen Klopp ametangaza kuondoka Liverpool mwisho wa msimu huu na inaelezwa kuwa hatafundisha timu nyingine ya EPL.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Rais wa Urusi Vladimiri Putin amempa zawadi kiongozi...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
England and New Zealand were fined 15% of their match...
MICHEZO
Beki wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka ,amefuatwa na timu...