0:00
NYOTA WETU
Miss Czech Krystyna Pyszko ametangazwa kuwa mshindi wa shindano la ulimbwende la Dunia “Miss world 2024”na kuwashinda warembo 111 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuvikwa taji la Miss World 2024 katika shindano lililohitimishwa leo Machi 09, 2024 Huko Mumbai, India
Miss Tanzania Halima Kopwe aliingia kwenye hatua ya warembo 40 bora ya waliokuwa wakiwania taji la hilo Miss World 2024.
Baada ya Round hiyo ilifuata hatua ya 12 Bora, Kisha 8 bora ambapo Waliingia warembo wawili wa kila bara Kutoka Nchi hizi (Brazil, Trinidad, Uganda, India, Lebanon, Czech, UK, Botswana)
Related Posts 📫
The Football Association (FA) said it will look into allegations...
President Bola Tinubu has instructed the Minister of Finance, Wale...
Kuna aina ya mtu ukiwa huwezi kuwa na mahusiano bora,...
HABARI KUU
Mapambano ya kukabiliana na ujangili wa Faru nchini...