SABABU GAMONDI KUMPIKU BENCHIKHA KWENYE TUZO
NYOTA WETU/MICHEZO Kocha Miguel Gamondi wa Yanga SC amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Februari akimpiku mpinzani wake mkubwa Abdelhak Benchikha, Kocha wa Simba pamoja na Ahmad Ally wa Tanzania…
NYOTA WETU/MICHEZO Kocha Miguel Gamondi wa Yanga SC amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Februari akimpiku mpinzani wake mkubwa Abdelhak Benchikha, Kocha wa Simba pamoja na Ahmad Ally wa Tanzania…
NYOTA WETU Mwanamieleka wa zamami ambaye kwa sasa Muigizaji John Cena amewashangaza wengi baada ya kupanda kwenye Jukwaa la tuzo Oscars 2024 jana Machi 10, 2024 na kutangaza washiriki wa…
HABARI KUU Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar leo Jumatatu March 11,2024 imesema kuanzia kesho March 12 2024 Waislamu watapaswa kuanza kufunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya mwezi…
HABARI KUU Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wamewasilisha salamu za rambirambi kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa pili wa Jamhuri ya…
NYOTA WETU Mtangazaji wa kike wa Televisheni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kapinga Kisamba Clarisse amejizolea umaarufu baada ya kuonekana akiwa anasoma taarifa ya habari akiwa amembeba…
HABARI KUU Takribani watu 50 wamejeruhiwa baada ya Ndege iliyokuwa ikisafiri kutokea Sydney,Australia kuelekea Auckland, New Zealand kupatwa na hitilafu ya kiufundi ikiwa hewani.Taarifa iliyotolewa na Shirika la Ndege la…
MICHEZO Mbogomaji wameingia kwenye 'list' ya timu zilizochukua magoli matano kutoka kwa Wananchi mpaka sasa msimu huu. FT: Yanga SC 5-0 Ihefu FC⚽ Pacome 9'⚽ Mudathir 29'⚽ Aziz Ki 68'⚽…
HABARI KUU Watu tisa wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Kiromo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya Basi dogo la abiria aina ya Coaster kugongana uso kwa uso…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Kocha wa timu ya Taifa ya kandanda ya Senegal, Aliou Cissé, ameteuliwa tena kuwa Kocha Mkuu hadi mwaka wa 2026, lilitangaza Shirikisho la soka la Senegal (FSF) katika video…