0:00
NYOTA WETU
Mtangazaji wa kike wa Televisheni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kapinga Kisamba Clarisse amejizolea umaarufu baada ya kuonekana akiwa anasoma taarifa ya habari akiwa amembeba mtoto wake mgongoni.
Tukio hilo lilitokea katika kituo cha Televisheni kilichopo Goma, Mashariki mwa DR Congo.
Kwenye mitandao ya kijamii, Clarisse amepongezwa kwa kitendo hicho wakisisitiza umuhimu wa kuwasaidia kina mama wanaofanya kazi katika mazingira magumu.
Tukio hilo lilitokea Machi 8, 2024 wakati dunia ilipoadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani.
Related Posts 📫
MICHEZO
Beki wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka ,amefuatwa na timu...
Tuesday's transaction comes after Williams, 27, led France to a...
HABARI KUU
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kutokea tarehe...
Famous street rapper, Portable makes the day of a man...