0:00
HABARI KUU
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar leo Jumatatu March 11,2024 imesema kuanzia kesho March 12 2024 Waislamu watapaswa kuanza kufunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya mwezi kuandama leo.
Taarifa hiyo imetangazwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Khalid Mfaume kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar ambaye ndiye mwenye dhamana ya kutangaza.
Related Posts 📫
Kylian Mbappé scored and Real Madrid moved within four points...
Makala
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association...
Veliz, who has made eight appearances for Spurs since signing...