0:00
MICHEZO
Mbogomaji wameingia kwenye ‘list’ ya timu zilizochukua magoli matano kutoka kwa Wananchi mpaka sasa msimu huu.
FT: Yanga SC 5-0 Ihefu FC
⚽ Pacome 9′
⚽ Mudathir 29′
⚽ Aziz Ki 68′
⚽ Okrah 83′
⚽ Maxi 86′
Stephanie Aziz Ki amehusika kwenye magoli manne kati ya matano ya Yanga leo, goli moja na hat-trick ya ‘assist’
Aziz Ki amepanda kwenye usukani wa magoli kwenye Ligi Kuu bara akifikisha magoli 12 (sawa na Feitoto) huku akitoa asisti 6.
Maxi Nzengeli amefikisha magoli 9, Mudathir magoli 8 huku Pacome Zouzoua akifikisha magoli 7 kwenye Ligi Kuu bara.
Wananchi wanaendelea kujitanua zaidi kileleni mwa msimamo wa NBCPL wakifikisha alama 49 baada ya mechi 18. Alama 10 mbele ya mtani wake, Simba SC.
Related Posts 📫
❤ In love matters, it's really bad to play with...
AN APPETITE FOR FOODEspecially if she is a good cook,...
The strategies we apply for daily sales isn't rocket science.Truth...
The 22-year-old led the Fever to an 84-80 win against...