0:00
NYOTA WETU
Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika.
Macron amesema “Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili kibinadamu, lengo letu ni kumpa Mtu uhuru binafsi wa kuamua kuhusu uhai wake baada ya kufikia hatua isiyo na nafuu au kupona”
Endapo Muswada huo utapitishwa, Ufaransa itakuwa nchi ya 10 duniani kuwa na Sheria ya Kusaidiwa Kufa. Nchi nyingine ni Uholanzi, Ubelgiji, Luxembourg, Colombia, Canada, Hispania, NewZealand, Ureno na Ecuador.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
The 22-year-old Dane made 37 appearances for Villarreal last season...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
❤ 1. S*x gives you good sleep2. S*x lowers high...