SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

0:00

MICHEZO

Mshambuliaji wa Yanga Sc Kennedy Musonda na Kiungo Clatous Chama wa Simba wameendelea kula shavu la kuwa miongoni mwa wachezaji 24 wa Zambia watakaoshiriki mashindano maalum ya kirafiki yatakayofanyika baadaye mwezi huu huko Malawi baada ya kuitwa na Kocha wao wa Taifa.

Kocha wa Zambia, Avram Grant amewaita Chama Musonda kutoka hapa ligi ya nyumbani na wengine wengi wanaofanya vizuri kwenye ligi tofauti kimataifa.

Katika mashindano hayo, Zambia itacheza mechi tatu dhidi ya Malawi, Kenya na Zimbabwe.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MARRIED WOMEN MUST NOT DO WITH OTHER...
LOVE ❤ 21 THINGS MARRIED WOMEN MUST NOT DO WITH...
Read more
DIFFERENT TYPES OF SEX IN MARRIAGE
LOVE TIPS ❤ 9 DIFFERENT TYPES OF SEX IN MARRIAGE!!!!!1....
Read more
Southampton beat Everton 1-0 for first league...
SOUTHAMPTON, England, 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Promoted Southampton finally got to celebrate...
Read more
DJ Neptune denies defrauding Laycon
Popular Nigerian disc jockey, DJ Neptune has denied defrauding singer...
Read more
Police in Owerri arrest speed Darlington after...
In an unexpected development, Nigerian musician Speed Okoye, popularly known...
Read more

Leave a Reply