0:00
HABARI KUU
Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kutekelezwa na waasi wa M23, Mashariki mwa DRC.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu (Ocha), inakadiria zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea katika eneo la Rutshuru tangu Ijumatano wiki iliyopita.
Rwanda imekuwa ikinyoshewa kidole kwa kuwafadhili waasi wa M23 licha ya Kigali kukanusha taarifa hizo huku ikiziita kama kuchafua jina la nchi na uongozi kwa ujumla.
Related Posts 📫
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...
I've observed during my counseling session with the married who...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...