0:00
MICHEZO
Makamu wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zitajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki wakiacha kusaidia wageni.
“Wenzetu huwa na umoja sana linapokuja suala la timu zao kwenye michuano ya kimataifa, kwa mfano wale waliobahatika kwenda na Yanga kwenye mchezo wa fainali waliona ni jinsi gani wenzetu walivyokuwa, natamani kuona timu za Tanzania zikicheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.”
“Nafikiri pia jambo muhimu kwa timu zetu ni suala la saikolojia, ukiangalia timu ambazo tumepangwa nazo zimekuwa bora Afrika, Mamelodi na Al Ahly zilizobeba taji la michuano hii.”
“Simba pia haina takwimu mbaya mbele ya Al Ahly.”
Related Posts 📫
In a stunning display of athleticism, Nigerian super eagles forward...
Public Service Cabinet Secretary Justin Muturi has called on Kenyans...
Murray, 37, confirmed last week that the Paris Games would...
NYOTA WETU
Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio cha...