0:00
NYOTA WETU
Jenerali Biagolo amesimamishwa katika jeshi la DRC baada ya kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii video inamuonyesha Mwanamke mmoja akicheza akiwa amevalia sare za Kijeshi.
Video hiyo ambayo imewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa tiktok inamuonyesha mwanamke wa kando akicheza nayo kitu ambacho ni kinyume na taratibu za jeshi.
Jenerali Biagolo kwa mjibu wa kanuni ya 85 ya sheria za kijeshi anaweza kuhukumiwa kwenda jela miaka mitano.
Related Posts 📫
HABARI KUU.
Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo...
AFYA
Licha ya faida nyingi za vidonge vya Viagra, kama...
MICHEZO
Mshambuliaji Prince Dube ametangaza kuondoka Azam FC na kuhitimisha...
NYOTA WETU
Kiungo Christoph Baumgartner wa Austria jana alifunga bao...
The 25-year-old has a release clause of 60m euros (£51.5m)...