Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika kikosi cha Singida baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa wananchi mwishoni mwa msimu huu.
Related Content
Taarifa za ndani zinasema kuwa Simba wanamhitaji Kibabage kwenda kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa mashindano na kumpatia kocha Benchikha kikosi kipana kwa ajili ya kurudisha mataji ambayo Simba wameyakosa kwa misimu miwili mfululizo.
