Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

0:00

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe huku aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya akihamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Martin Otieno aliyehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma.

Uhamisho huo ni mabadiliko ya kawaida yanayotokea ndani ya Jeshi la Polisi katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

How the Mind of Woman Works in...
Women will never tell you this, but I'll tell you...
Read more
Kongamano la Uswizi: Putin na Utata wa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Ukraine itahitaji kuondoa kikamilifu...
Read more
According to Tuttosport, Paris and Victor Osimhen...
ParisSaintGermain is close to signing Victor Osimhen. The former Napoli...
Read more
WHY WOMEN ARE CRAZY IN MARRIAGE
WHAT EVERY WOMAN NEEDS TO KNOW PLEASE LISTEN TO THIS...
Read more
22 BEST TIPS ON HOW TO AVOID...
LOVE ❤ Carelessness is one of the major causes of...
Read more
See also  Siku ya jana Mei 29 2024, Afrika ya Kusini ilianza rasmi uchaguzi wake mkuu ikiwa huu utakuwa uchaguzi wa mara ya 8 kama hatua muhimu katika historia ya nchi hiyo tangu kumalizika kwa utawala wa kikoloni mnamo Mwaka 1994.

Leave a Reply