TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

0:00

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Ten Hag rejects Ronaldo criticism over ambition
Manchester United manager Erik ten Hag has dismissed Cristiano Ronaldo's...
Read more
Republic of Ireland captain Seamus Coleman hopes...
While the veteran Irish skipper, 35, has faced England before...
Read more
MAWAKILI KUMBURUZA MAHAKAMANI MKUU WA WILAYA KWA...
HABARI KUU Wakili wa kujitegema nchini Wakili Peter Madeleka amesema...
Read more
Diogo Jota and Mohamed Salah scored the...
Portuguese forward Jota finished off a flowing Liverpool move involving...
Read more
20 things ladies shouldn't do, when they...
Don’t go to his house unannounced Don’t ask him for money Don’t...
Read more
See also  Newcastle United kutibua mpango wa Manchester United kumsajili Michael Olise

Leave a Reply