0:00
Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa ni sehemu ya kuziba pengo la Mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu.
Mbali ya ofa hiyo, pia PSG imepanga kumpa mshahara wa zaidi ya Pauni 500,000 kwa juma, ili kumshawishi zaidi akubali kujiunga nao.
Mkataba wa sasa wa staa huyu unatarajiwa kumalizika mwaka 2028. PSG imekuwa ikiwania saini ya fundi huyu kwa muda mrefu.
Fundi huyu ameonyesha kiwango bora kwenye kikosi cha kwanza cha Man United akiwa mmoja kati ya mastaa tegemeo wa kikosi cha kwanza cha mashetani hao na msimu huu amefunga mabao saba kwenye mechi 34 za michuano yote.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Burundi imeishutumu Rwanda kuhusika katika shambulio la guruneti...
Yvonne Jegede, a prominent figure in Nollywood, has recently revealed...
After a surprising series defeat by New Zealand, India's skipper...
President William Ruto may implement significant alterations to his Cabinet...