0:00
HABARI KUU
Serikali ya Burundi imesema Mfanyabiashara atakayekamatwa akiwa anapeleka biashara nchini Rwanda ataadhibiwa kama adui wa nchi.
Hayo yamesema na Mkuu wa Mkoa wa Cibitoke, Careme Bizoza wakati akizungumza na Wakuu wa Wilaya, Madiwani na Wenyeviti wa Mkoa huo unaopakana na Rwanda.
Wananchi wa mkoa huo wamesema kuwa hatua hiyo ni kama kuwafunga mikono nyuma kwani ndipo walipokuwa wanatoa fedha kwa ajili ya kuziendesha familia zao.
Wameutaka uongozi wa Burundi kuifungua mipaka dhidi ya Rwanda iliyofungwa mwanzoni mwa mwaka huu.
Related Posts 📫
POLITICS
Maryanne Moghalu, wife of the 2019 Young Progressive Party...
HABARI KUU
Wizara ya sheria ya Urusi imewasilisha ombi kwa...
MICHEZO
Manchester united ipo tayari kumpiga bei nyota wake wa...
Dar es salaam.
Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya...
In a speech delivered in Taita Taveta, President William Ruto...
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.