0:00
HABARI KUU
Katika hali isiyo ya kawaida kwenye Kijiji cha Maji Moto Kisaki Morogoro Vijijini, kuna Maji ambayo yanatoka chini ya ardhi (chemichemi) yakiwa ya moto huku yakiwa na uwezo wa kuivisha yai kwa dakika tano.
Afisa Misitu Msaidizi kutoka TFS Simon Lukumay anasema maji hayo yanatoka kwenye miamba migumu ambapo yanasababisha maji kupata joto Kali sana.
Anasema maji hayo ya uwezo mkubwa wa kuivisha chakula kama mayai kwa muda mchache huku yai linakua imeiva ambapo tayari Serikali imeanza jitihada za kufanya eneo hilo kuwa kivutio cha utalii.
Related Posts 📫
LONDON, - Brentford striker Yoane Wissa netted a double as...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Murdoch mwenye umri wa miaka 93 amefunga ndoa hiyo jana...
The Narcissist:
A Narcissist has an inflated sense of his own...
Expectation is not a bad thing because it's normal for...