0:00
NYOTA WETU
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko anatarajiwa kuongoza ushiriki wa serikali katika misa takatifu ya kumuombea Hayati Dkt. John Magufuli ikiwa ni kumbukizi ya miaka mitatu ya kifo chake.
Misa hiyo inatarajiwa kufanyika kesho Machi 17 katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Chato mkoani Geita.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba...
Most of the time, you complain that your husband’s demand...
CELEBRITIES
Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside...
Aryna Sabalenka's return to top spot in the WTA rankings...
How can two walk together unless they agree? The truth...