0:00
NYOTA WETU
Mrembo Caren Simba amejikuta kwenye wakati mgumu wa kujibu maswali baada ya kubanwa kwenye 18 na Mtangazaji wa Bongo FM Samrathy Shaaban kuhusu tetesi za kutoka kimapenzi na Mchezaji wa Yanga sc Pacome Zouzoua.
Kupitia mahojiano hayo Caren Simba amekana kutoka kimapenzi na mcheza huyo, bali uhusiano wao ni wa Kirafiki.
Alipoulizwa kama sababu ya kuwa nae mbali ni matumizi ya lugha, Careen alikata simu.
Related Posts 📫
Reigning Nations League champions Spain will play the Netherlands in...
HABARI KUU.
Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini...
In his testimony before the National Assembly Committee on Administration...