0:00
NYOTA WETU
Mrembo Caren Simba amejikuta kwenye wakati mgumu wa kujibu maswali baada ya kubanwa kwenye 18 na Mtangazaji wa Bongo FM Samrathy Shaaban kuhusu tetesi za kutoka kimapenzi na Mchezaji wa Yanga sc Pacome Zouzoua.
Kupitia mahojiano hayo Caren Simba amekana kutoka kimapenzi na mcheza huyo, bali uhusiano wao ni wa Kirafiki.
Alipoulizwa kama sababu ya kuwa nae mbali ni matumizi ya lugha, Careen alikata simu.
Related Posts 📫
MAKALA
Tuliokuwepo tutakumbuka, mwaka ule wa 1992, kundi la Masetla, Wafanyabiashara,...
The National Youth Service (NYS) in Kenya has unveiled a...
LONDON, - Liverpool returned to winning ways in the Premier...
I have seen so many women who are physically beautiful...
The continental governing body of football, CAF says it's president...