0:00
MICHEZO
Kiungo Feisal Salum Fei Toto amepeleka kilio Jangwani kwa kufunga bao la ushindi kwa Azam FC waliotundika Yanga SC 2-1 kwenye muendelezo wa ligi kuu soka ya NBC Tanzania Bara.
Hiki ni kipigo cha pili kwa Yanga SC kwenye ligi kuu msimu huu wakisaliwa na alama 52 baada ya michezo 20 huku Azam FC wakipanda hadi nafasi ya pili wakifikisha alama 47 baada ya michezo 21
Nyota Feisal Salum alipoulizwa kwanini hakushangilia bao alilolifunga kwenye mchezo huo alijibu kwasababu anaiheshimu Yanga SC na anawapenda mashabiki wa timu hiyo.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya...
Leicester City coach Steve Cooper says he is happy to...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Belgium attacker Leandro Trossard is hoping to take his club...
NYOTA WETU
Bondia Francia Ngannou raia wa Cameroon amewaomba radhi...