MICHEZO
Related Content
Manchester United imetinga nusu fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 4-3 dhidi ya Liverpool katika dimba la Old Trafford kwenye robo fainali.
FT: MAN UTD 2-2 LIVERPOOL (ET 4-3) McTominay 10′
Antony 87′
Rashford 112′
Amad 120+2′
Mac Allister 44′
Salah 45+2′
Elliott 105′
United imeungana na Manchester City, Chelsea na Coventry kwenye nusu fainali.
