HABARI KUU
Mpinzani wa Congo Jaynet Kabila, dada pacha wa Rais wa zamani Joseph Kabila, amehojiwa na idara ya ujasusi ya Kijeshi.
Anashutumiwa kwa kushirikiana na waasi wa M23 ambao wamekuwa wakiendesha mashambulizi Kaskazini mwa nchi ya DRC.
Jaynet Kabila hakutoa tamko lolote kwa waandishi wa habari baada ya kusikilizwa kwa takribani masaa matano akiwa peke yake mbele ya Jenerali wa ujasusi katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.