SABABU AL-HILAL OMDURMAN KUJIUNGA NA LIGI KUU TANZANIA

0:00

MICHEZO

Mkurungezi wa Bodi ya Ligi , Almas Kasongo amekiri klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan imeomba kuwa sehemu ya Ligi Kuu Bara.

Amesema hilo linawezekana kwa sababu ni jambo ambalo linazungumzika kutokana na hali ya kiusalama nchini Sudan kwa sasa.

Hata hivyo, ameongeza kama Al Hilal washashiriki msimu ujao faida ni nyingi kwa klabu za Tanzania kuliko chagamoto kutokana na uzoefu wa timu hiyo kushiriki mara kwa mara michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho.

Pia amesema kuna baadhi ya waamuzi kutoka Sudan watakuwa miongoni mwa watakochezesha mechi za Ligi Kuu Bara msimu ujao 2024/2025.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Conte urges Napoli to improve attack after...
Napoli manager Antonio Conte said he was "moderately satisfied" with...
Read more
AJALI YA NGARAMTONI ARUSHA YAUA RAIA WA...
HABARI KUU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
Read more
Argentina yatinga nusu fainali licha ya Lionel...
Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Amerika Kusini, Argentina...
Read more
Aston Villa goalkeeper Emiliano Martinez has signed...
The 31-year-old Argentina international has extended his stay until 2029. Martinez...
Read more
8 SIGNS THAT YOU ARE NOT RIPE...
LOVE TIPS ❤ QUESTION : WHAT AGE CAN I BE...
Read more
See also  RUUD VAN NISTELROOY has taken Marcus Rashford under his wing as he bids to return him to his best.

Leave a Reply