0:00
MICHEZO
Kiungo wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua ambaye alipata majeraha na kushindwa kuendelea na mchezo dhidi ya Azam FC ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kinachotarajiwa kucheza mechi za kirafiki.
Taarifa ya Shirikisho la Mpira lvory Coast imebainisha kuwa Pacome anachukua nafasi ya lbrahim Sangare anayekipiga Nottingham Forest ya Ligi kuu England ambaye ni majeruhi.
Related Posts 📫
Magazeti
Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo...
Secondary school principals in Kenya are advocating for a comprehensive...
LIVERPOOL, England, 🏴 - A sensational trademark strike from Mohamed...