0:00
HABARI KUU
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba amesema hali ya Uchumi ni nzuri na wanaosema Maisha yamekuwa magumu wafanye kazi kwasababu hayajawahi kuwa rahisi tangu Mungu alipoumba Dunia
Amesema
“Kinachotakiwa kila mmoja kufanya kazi. Wengine nimewasikia wakisema Maisha yamekuwa magumu. Kimsingi Maisha hayajawahi kuwa rahisi tangu Mungu alivyoumba Dunia. Alivyomuumba Mwanadamu alisema nenda ukale kwa jasho.”
Ameeleza katika robo 3 za mwaka uliopita, Uchumi ulikua kwa wastani wa 5.2% na matarajio ya takwimu zitakazotoka katika robo ya mwisho, Tanzania inaweza kufikia lengo la ukuaji wa 5.3%
Related Posts 📫
LOVE ❤
Ladies are always cautious in their interactions with...
Girona have been hit by injury blows to Oriol Romeu...
The President, who received a delegation of Islamic leaders led...