MAJENEZA 150 YAWAKA MOTO KIMAAJABU

0:00

HABARI KUU

Zaidi ya majeneza 150 yaliyokuwa yametengeneza tayari kwa ajili ya bioashara yakisubiri wateja, yameteketea kwa moto katika mjiwa Karatina, uliopo eneo la Bunge huko Mathira Nchini Kenya.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wamesema mbali na Majeneza hayo, pia Samani zingine ikiwemo Meza, Viti, Makabati na aina mbalimbali yameteketea kwa moto huo unaodaiwa kuwa mkubwa uliotokea katika mtaa wa Sofia.

Kamishna wa Nyeri, Peter Murugu amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na kwamba uliripotiwa kutokea majira ya saa tisa alasiri na kuleta uharibufu katika Maduka ya juakali, yaliyoko mtaa huo wa Sofia.

Amesema, uchunguzi wa awali utafanywa kikamilifu ili kubaini kiwango hasa cha hasara hiyo ambayo aliitaja kuwa ya mamilioni kadhaa huku mmoja wa waathiriwa, James Njogu akisema amepoteza majeneza 16 ambayo alikuwa ameweka katika duka lake kusubiri wateja.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

PAUL MAKONDA AREJEA MJINI ...
HABARI KUU Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliokutana...
Read more
HIZI NDIZO SIFA ZA WANAWAKE WANAO OLEWA...
MAKALA Kwenye maisha kuna siri nyingi basi leo nakupa siri...
Read more
It was a well-deserved hero's welcome for...
The Malaysian shuttlers were greeted with a heartwarming welcome by...
Read more
There is currently intense lobbying at the...
Egbetokun, appointed on June 19, last year, is due to...
Read more
Szczesny ready to light up Barcelona, on...
Polish goalkeeper Wojciech Szczesny recently reversed his retirement decision to...
Read more
See also  WALIOFANYA SHAMBULIZI NCHINI URUSI WAKAMATWA WANNE

Leave a Reply