0:00
Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali imekuwa na matumizi makubwa ya Fedha za Walipa Kodi yasiyo na tija, zikiwemo Safari za Mfululizo za Viongozi akiwemo Rais aliyefanya safari 15 kwenda nje ya nchi tangu alipoapishwa Mei 29, 2023.
Hii ni mara ya pili kwa Rais Tinubu kuchukua maamuzi ya kudhibiti matumizi ya Serikali ambapo Januari 2024 alitangaza kupunguza kwa 60% idadi ya Watu wanaokuwa kwenye Misafara ya Viongozi akiwemo yeye mwenyewe. Hata hivyo Tinubu hajaweka wazi kama safari zake pia zitasitishwa.
Related Posts 📫
MICHEZO
Jina la Kocha Mkuu wa Klabu ya Brighton &...
HABARI KUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitangaza ratiba ya maziko...
LOVE TIPS ❤
1: The Most Beautiful Women
-It takes holyspirit...
Anthony Martial, who left Manchester United in June after nine...