0:00
HABARI KUU
Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake ya kujiuzulu baada ya mwaka mmoja tu Madarakani kwa shutuma za kushindwa kupambana na ufisadi nchini humo.
Hatua hiyo ya kujiuzulu kwa Rais huyo mwenye umri wa miaka 53 inakuja wakati Vietnam ikikumbwa na msukosuko mkubwa wa kisiasa ambapo mtangulizi wake pia aliondoka Madarakani baada ya kushindwa katika harakati za kupambana na ufisadi, ikishuhudiwa Mawaziri kadhaa wakifukuzwa kazi .
Vo Van Thuong aliingia Madarakani mnamo Machi 2, 2023 baada ya kujiuzulu kwa mtangulizi wake, Nguyen Xuan Phuc.
Related Posts 📫
Spain's Carlos Alcaraz said playing in Rafa Nadal's career farewell...
The defender was only announced as a new player for...
Tottenham Hotspur manager Ange Postecoglou said on Friday his side's...
Manchester United coach Ruben Amorim has vowed to help struggling...
When younger, we make various choice's without the future in...