0:00
NYOTA WETU
Mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester City na Real Madrid , Robinho (40) ameambiwa na Majaji nchini Brazil kwamba anapaswa kukitumikia kifungo cha miaka tisa jela kwa kosa la ubakaji nchini Italia.
Mwaka 2017, Robinho alihukumiwa nchini Italia kifungo cha miaka tisa jela kwa kitendo cha kushiriki katika kundi la unyanyasaji wa kingono ambalo walifanya kosa hilo mwaka 2013 kwenye Club moja ya usiku alipokuwa akiichezea AC Milan.
Related Posts 📫
Former France captain Amandine Henry said on Sunday she has...
❤
Dear Brother5 DIFFERENCES BETWEEN WIFE MATERIAL & GIRLFRIEND MATERIAL1)...
Sporting Kansas City are moving on without captain Johnny Russell...
LONDON, - French luxury brand Chanel will sponsor Britain's historic...
SPORTS
Manchester United legend Rio Ferdinand spoke on the YouTube...