SABABU YA VITA YA BARAKA MPENJA NA HAJI MANARA HII HAPA

0:00

MASTORI

“..Alikuja Mwamba wa Umarila Baraka Mpenja “sauti ya Radi” amekuwa kinara wa utangazaji wa soka kizazi cha 2010+ huku, amekua akifurahisha watu kwa kipindi kikubwa kutokana na namna anavyotangaza mpira..

“Badae kaibuka kilwa Finest Gharib Mzinga ambaye asili yake ni Zanzibar kajijengea Jina lake tofauti na Baraka Mpenja ni aina ya watangazaji wa miaka ya nyuma Yani anakupa takwimu zilizotokana na utafiti wake…

“Amejizolea sifa tofauti na za Mpenja na amekua akikua kwa kasi sana…

“Juzi juzi kaibuka KALIKONJI akimsifia sana Mzinga na kujaribu kumponda Baraka kisa eti Baraka Mpenja akitangaza anasifia sana Simba na Chama, so kwenye Group lao moja huo ukawa mjadala na yeye akachukua jukumu la kuazimia kumshusha Mpenja kwa kumuinua Mzinga na kusema Mpenja ni CHAWA,
Lakini yote baada ya Azam FC kuichapa Yanga 2-1 Taifa na Mpenja akaitangaza.

“Nikaamua kufuatilia kuona nini kipo nyuma yake, kumbe KALIKONJI kaanzisha na Mpenja baada ya kusikia mtangazaji 1 wa Online Tv yake anaitwa Pablo ameaga na kusema anataka kwenda MPENJA TV”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA...
HABARI KUU Kigezo cha ziada ya kuzipima Halmashauri zote nchini...
Read more
WHY REMA AFRAID RELATIONSHIP WITH PRETTY ...
CELEBRITIES "A lot of people have been spreading the news...
Read more
Manchester United are exploring a deal for...
England international wingers Sterling and Sancho are both out of...
Read more
Simeone takes blame for Atletico's poor performance...
Atletico Madrid coach Diego Simeone took full responsibility for his...
Read more
JUDE BELLINGHAM KUKOSA MASHINDANO YA LIGI YA...
MICHEZO
Kiungo wa England na timu ya Real Madrid ataukosa...
Read more

Leave a Reply