0:00
MICHEZO
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza vibaya mashindano ya FIFA Series 2024 baada ya kupokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Bulgaria katika dimba la Olympic Baku, Azerbaijan.
FT: Bulgaria 🇧🇬 1-0 🇹🇿 Tanzania
⚽ Kiril Despodov 52′
Nyanda Aishi Manula alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kuonekana kupata jeraha na kuomba kufanyiwa mabadiliko mnamo dakika ya 30 ya mchezo huku nafasi yake ikichukuliwa na Kwesi Kawawa.
Related Posts 📫
LONDON, -
The Rugby Football Union (RFU) is to roll...
TURIN, Italy, 🇮🇹 - Juventus came from two goals down...
MICHEZO
Wawakilishi wa SSC Napoli walikutana na Antonio Conte mjini...
Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa...