MAKALA Wanasayansi wanasema, hadi umri wa miaka 35, wanawake wengi hawana matatizo na uzazi, lakini baada ya umri huo uwezekano wa kupata mimba huanza kupungua kwa kasi. Ni kweli kwamba…
HABARI KUU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limechukua hatua muhimu kwa kuwaalika makampuni binafsi kupeleka treni zao kwenye mradi wa Reli ya Kisasa (SGR). Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Bw.…
HABARI KUU Ndege mpya ya abiria aina ya Boeing B737-9 Max ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) inatarajiwa kuwasili nchini, huku Watanzania na viongozi mbalimbali wakialikwa kwenda kushuhudia mapokezi hayo.Ndege…
HABARI KUU Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano Kati ya Benki ya Dunia na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Humphrey Kanyenye amesema Ofisi ya Uratibu wa Mradi wa…
MICHEZO Rais wa FC Barcelona Joan Laporta amekiri kuwa klabu hiyo imekataa ofa ya Pauni milioni 200 (sawa na Sh bilioni 551) kwa ajili ya Lamine Yamal. Taarifa hiyo imetolewa…
Klabu za AC Milan na Juventus zinaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Fiorentina na Morocco, Sofyan Amrabat ambaye kwa sasa anaichezea Manchester United kwa mkopo.
Hadi sasa Man United haijaonyesha nia ya kutaka kumsainisha mkataba wa kudumu Amrabat aliyejiunga nao katika dirisha lililopita la majira ya baridi.
Amrabat alijiunga na Man United kwa mkopo uliokuwa na ada ya Euro 9 milioni na kuna kipengele cha kumnunua mazima kwa Euro 25 milioni.
Juventus ndio imeripotiwa kuwa ya kwanza kutaka kumsajili staa huyu lakini Milan nayo imeibuka katika siku za hivi karibuni, na ndio inaonekana kuwekeza nguvu kubwa zaidi.
Milan inataka kumsajili Amrabat kwa sababu inapitia changamoto eneo lao la kiungo hususani katika upande wa kuzuia.
Amrabat alitua Man United baada ya mashetani hao wekundu kushinda vita dhidi ya Barcelona.
Tangu atue Man Utd, kiungo huyu amecheza mechi 22 za michuano yote na Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2025.
MICHEZO Beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold yuko kwenye rada za Real Madrid kabla ya kumalizika kwa mkataba wake mwaka 2025, kwa mujibu wa ripoti. Alexander-Arnold yuko katika miezi…
NYOTA WETU Kiongozi wa upinzani Bassirou Diomaye Faye ameibuka kuwa anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa urais nchini Senegal, baada ya wapinzani kadhaa kukubali kushindwa. Mamilioni ya watu walishiriki…
NYOTA WETU Nyota wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhan Wasso amefariki dunia leo nchini Burundi. Wasso raia wa Burundi ambaye usajili wake wa kutoka Simba kwenda Yanga ulitikisa sana…
MICHEZO Kocha Mkuu wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso anatarajiwa kupendelea kuhamia Bayern Munich ikiwa ataamua kuondoka katika timu yake ya sasa msimu unaokuja wa majira ya joto, ripoti imedai. Alonso…