MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD AMAECHI MUONAGOR AFARIKI DUNIA

0

0:00

NYOTA WETU

Muigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 62 baada ya kuugua magonjwa mbalimbali huku kufeli kwa figo yake kukitajwa kuwa chanzo cha kifo chake.

Hivi karibuni video za muigizaji huo zilisambaa akiomba watu wamchangie ili asafiri nje ya Nigeria kwa ajili ya matibabu ambapo tayari Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Nigeria walianza kumchangia hivyo ripoti ya kifo chake kimegusa hisia za watu wengi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SERIKALI YA NIGERIA YAFANIKIWA KUWARUDISHA MATEKA 137
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading