0:00
NYOTA WETU
Nyota wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhan Wasso amefariki dunia leo nchini Burundi.
Wasso raia wa Burundi ambaye usajili wake wa kutoka Simba kwenda Yanga ulitikisa sana mwanzoni wa mwaka 2000 atakumbukwa kwa ustadi mkubwa wa kumudu kucheza kama Mlinzi wa kushoto na mwenye uwezo mkubwa wa kupanda na kusaidia mashambulizi.
Taarifa toka Burundi zinasema Wasso amefikwa na umauti huo wakati akipatiwa matibabu nchini Burundi.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
In a tough Group C, where defending champions the United...
HABARI KUU
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
Emefiele’s move comes in response to a series of court...