0:00
MICHEZO
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Jumatatu (Machi 25), kitashuka tena kwenye Uwanja wa Dalga Arena nchini Azerbajjan kucheza dhidi ya Mongolia katika mechi ya mashindano maalum ya FIFA Series 2024 yanayoendelea nchini humo.
Stars itakuwa inajaribu bahati yake baada ya mechi ya kwanza ljumaa (Machi 22) kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Bulgaria katika mfululizo wa michezo ya michuano hiyo.
Kocha Mkuu wa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amewahakikishia watanzania kuwa katika mechi ya leo Jumatatu (Machi 25) wanatarajia kuibuka na ushindi kwani haiwezekani wapoteze michezo miwili mfululizo.
Related Posts 📫
The Narcissist:
A Narcissist has an inflated sense of his own...
Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with...
The Blues published their accounts in April, revealing the sale...
Nigerian music sensation Davido responded to online comments about his...
𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂 𝗱𝗶𝘃𝗲𝗿𝘁 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 ?
Unajua...