0:00
MICHEZO
Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini China, ambaye alikiri kupokea rushwa, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.
Vyombo vya habari vya serikali vya China vimeripoti leo kama sehemu ya kampeni kubwa ya kupambana na rushwa katika mchezo nchini humo.
Chen Xuyuan akiwa Rais wa shirikisho alikiri kupokea kiasi cha yuan milioni 81.03”, au euro milioni 10.4.
Pia anaripotiwa kuomba hongo ya Yuani milioni mbili (Euro 255,000) kutoka kwa kocha Wuhan Zall ili awe kocha wa timu ya taifa ya China.
Katika kipindi cha CCTV mnamo Januari,2024 mchezaji huyo wa zamani wa Everton ya Uingereza alikiri kusaidia katika upangaji wa matokeo katika mechi kadhaa za daraja la pili nchini humo.
Related Posts 📫
In a remarkable display of skill and determination, Moroccan kickboxer...
MAPENZI
Kuzeeshana kwenye ndoa ni jambo ambalo kila mwanandoa analitamani...
The Saints will pay an initial £18m for the former...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Tottenham Ange Postecoglou ameushinikiza...
Singer Adekunle Gold has expressed regret over writing a song...