0:00
NYOTA WETU
Nahodha wa timu ya Yanga amegoma kurejea kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika CAFCL kutoķana na kile kinachodaiwa ufinyu wa nafasi katika kikosi cha kwanza.
Katika Mechi za hivi karibuni kocha wa Yanga Miguel Gamond amekua akiwatumia Dickson Job na Ibrahim Bacca kama mabeki wakati, kitu ambacho kinmnyima furaha mwamba.
Mkataba wa Captain na Yanga unaisha mwishoni mwa msimu huu.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo...
LOS ANGELES, - The Los Angeles Dodgers celebrated their World...
MANCHESTER, England 🏴 — Pep Guardiola declared himself “not good...
AMSTERDAM, - Two first half penalties and two quality strikes...
NYOTA WETU
Polisi nchini Marekani wanaendelea na uchunguzi juu ya...