AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

0:00

MICHEZO

Klabu ya Simba imepata pigo baada ya mlinda mlango Aishi Manula kuripotiwa kupata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kama ambayo yalimuweka nje mwanzoni mwa Msimu huu.

Manula anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kati ya miezi 10 hadi miezi 12.

Kukosekana kwa nyanda huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ni pigo kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kuelekea michezo muhimu ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza kurindima kesho.

Simba Sc itachuana na Mabingwa watetezi, Al Ahly kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali kesho Machi 29, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 3:00 usiku.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

14 BEST REASONS WHY IT IS IMPORTANT...
LOVE ❤ To enjoy sleep. Sleep is a struggle when...
Read more
Chelsea fans react as Brighton announce Roberto...
SPORTS Brighton have announced that Roberto De Zerbi is leaving...
Read more
HERVE RENARD KUTIMKIA MISRI
MICHEZO Misri ipo katika hatua nzuri za kumnasa kocha Herve...
Read more
Saga says he's married to Liquorose
CELEBRITIES Former BBNaija star, Saga has claimed he is married...
Read more
NEVER MARRY SOMEONE WHO DOES NOT LISTEN...
I ran away from the first man that asked for...
Read more
See also  MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

Leave a Reply