MICHEZOUongozi wa klabu ya Yanga, umetuma ofa kwenda Azam FC kwa ajili ya kumuhitaji mshambuliaji wa timu hiyo Prince Dube.

Yanga wapo tayari kuvunja mkataba wa mchezaji huyo kwa dau la Tsh million 512 huku wakitaka kulipa ada ya usajili kwa awamu mbili.

Tayari Dude aliwasilisha ombi la kutaka kuvunja mkataba Azam FC huku akidai mfumo mbaya wa uongozi.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.