0:00
MICHEZO
Kocha wa klabu ya Brighton, Roberto De Zerbi yupo kwenye mstari wa mbele wa orodha ya makocha wanaopigiwa upatu kuchukua mikoba ya Thomas Tuchel kunako Bayern Munich ikiwa miamba hiyo ya Ujerumani itakosa huduma ya Xabi Alonso wa Bayer Leverkusen.
Bayern tayari imefikia maamuzi ya kuachana na Tuchel mwisho wa msimu huu huku ikiendelea kusaka mbadala wake na inamuona De Zerbi kama chaguo lingine ikiwa Xabi Alonso ataamua kusalia Leverkusen au kutimkia kwingine.
Related Posts 📫
MALAGA, Spain, 🇪🇸 - Rafa Nadal will not dwell on...
HABARI KUU
Kiongozi mkuu wa kundi AL-SHABAAB linaloendesha harakati...
NYOTA WETU
Dunia imebadilika sana, wakati Mange Kimambi anatangaza kuja...