ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO HATARINI KUIKOSA MAMELODI SUNDOWNS

0:00

MICHEZO

Pacome, Aucho, Yao hatarini kuwakosa Masandawana



“Natarajia kuwakosa baadhi ya wachezaji wangu nyota. Siwezi kuhatarisha afya za wachezaji ambao bado hawana utimamu wa kimwili. Lakini kuna uwezekano mkubwa wa kukosa wachezaji watatu mpaka wanne,” amesema Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamondi kuelekea mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns Machi 30 mwaka huu.



Amesema wachezaji ambao wako hatarini kukosa mchezo huo ni Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yao Kouassi na Pacôme Zouzoua kutokana na majeraha.

Aidha, amesema anatumaini kuwa Djigui Diarra na Aziz Ki ambao wamerejea leo watakuwa wapo salama na kwamba uamuzi wa mwisho kuhusu hatma ya wachezaji hao utajulikana leo katika mazoezi ya mwisho.



“Licha ya kukosa nyota wangu kwenye maandalizi, nina imani na wachezaji wengine ambao wapo kambini. Jambo muhimu ni kujitoa zaidi, kuliko Mamelodi. Sisemi kuwa hatuwafikii uwezo Mamelodi, ila naamini wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa hivyo ni lazima vijana wangu wajitoe zaidi,”

ameeleza Gamondi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ANNIE IDIBIA GUSHES OVER HER MAN
CELEBRITIES Taking to her Instagram page to share a photo...
Read more
KILICHOMWONDOA JOB TAIFA STARS CHAANIKWA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Spurs sink Man City, Man United thump...
LONDON, - Tottenham Hotspur beat Manchester City 2-1 with goals...
Read more
Motta says Juve not yet title contenders...
Manager Thiago Motta acknowledged that Juventus are not in the...
Read more
Bayer Leverkusen draw is like a loss
Hosts Bayer Leverkusen paid the price for being complacent after...
Read more
See also  Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea

Leave a Reply