0:00
HABARI KUU
Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake halijawekwa wazi bado amepoteza maisha alipokuwa njiani na mashabiki wenzake baada ya kupata ajali.
Shabiki huyo wa Simba SC kutoka Tawi la Kiwira alikuwa safarini na mashabiki wenzake wamepata ajali hiyo ya gari eneno ya Vigwaza Pwani.
Tawi hilo lilikuwa linakuja Jijini Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa Robo Fainali Simba SC na Al Ahly unaochezwa leo usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini hapa.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda...
Mazishi ya Aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika...
LILLE, France, 🇫🇷 - Juventus manager Thiago Motta has stressed...
NYOTA WETU
Meneja wa zamani wa timu ya Taifa ya...