0:00
MICHEZO
Wekundu wa Msimbazi Simba SC imekubali kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa Afrika
Kipigo hicho kimetengeneza mlima wa kupanda kwa Simba SC kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa Cairo
Mechi tano zilizopita kati ya Al Ahly na Simba.
Ligi ya Soka ya Afrika:
• Al Ahly 1-1 Simba
• Simba 2-2 Al Ahly
Ligi ya Mabingwa CAF:
• Al Ahly 1-0 Simba
• Simba 1-0 Al Ahly
• Simba 1-0 Al Ahly
Ni salama kusema, Simba v Al Ahly ni 𝐛𝐢𝐠 𝐝𝐞𝐫𝐛𝐲 barani Afrika.
Related Posts 📫
NYOTA WETU
Nyota wa Yanga ,Stephanie Aziz Ki amepenya kwenye...
THE SLEEP AND LET'S TALK TOMORROW TECHNIQUEThis is when a...
Vice chairman of Ghana's New Patriotic Party’s (NPP) Manifesto Committee,...
The 13-year WNBA veteran grabbed three rebounds during the first...