0:00
MICHEZO
Borussia Dortmund wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo Der Klassiker kwenye Bundesliga.
Hii ni mara ya kwanza kwa Bayern Munich kupoteza nyumbani kwenye mchezo huo wa mahasimu wa jadi kwenye soka la Ujerumani tangu Aprili 2014.
Dortmund wakiandikisha ushindi wao wa kwanza Allianze Arena baada ya siku 3641.
Kipigo hicho kimefifisha matumaini ya Bayern kutetea ubingwa wao wa Bundesliga wakiwa nyuma kwa alama 13 dhidi ya vinara Bayer Leverkusen.
Related Posts 📫
NYOTA WETU.
Jenerali Ulimwengu, Alizaliwa April 4 ya mwaka 1948...
LOVE ❤
7 SIGNS YOUR PARTNER LOVES YOU UNCONDITIONALLY.The greatest...
Marketing Strategy:
This document should outline the overall marketing goals and...
YOU ARE OVER SEXUALIf all you talk about and show...